Vifo 8 Kati ya 10 hutokana na magonjwa ya NCDs
Imeelezwa kuwa asilima 80 ya vifo duniani husababishwa na magonjwa yasiyoambukizwa na ajali (NCDs). Ripoti hiyo imetolewa na Dkt. Etienne Krug, Mkurugenzi wa Idara ya Afya ya Jamii, Shirika la Afya Duniani (WHO) katika kongamano la Healthy Cities kwa mwaka 2025 lililofanyika jijini Paris,