Wakazi Dar walia na ubovu wa barabara za jiji
Wakazi wa jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania wamesema ujenzi wa barabara usiozingatia kuwepo kwa mifereji ya kupitishia maji ni moja ya sababu inayochangia barabara nyingi za jiji kushindwa kupitika wakati wa mvua.