Rais Kikwete atwaa tuzo ya kiongozi bora Afrika

Rais wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo ya African Most Impactful Leader of the year na taasisi ya uchapishaji ya African Leadership Magazine ya nchini Marekani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS