Vijana wametakiwa kufanya mageuzi ya kifikra

Profesa Issa Shivji, mwenyekiti wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere ambaye anamaliza muda wake. na atamkabidhi kiti hicho kwa Profesa Penina Mlama.

Vijana nchini Tanzania wametakiwa kufanya mageuzi ya kifikra ili kujikwamua na hali mbaya ya kiuchumi pamoja na matatizo mbali mbali yanayowakabili likiwemo la ukosefu wa ajira.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS