Wyre kufanya kazi na Konshens?
Baada ya msanii wa Kenya, Wyre The Love Child kufanikisha kolabo za kimataifa zenye mafanikio makubwa katika muziki wake, zikiwepo kazi alizofanya na Alaine pamoja na Cecile, msanii huyu ametajwa kuwa katika mchongo wa kufanya kazi na msanii Konshens