Zee Town Souljas kupiga vita dawa za kulevya Z'Bar
Kundi la kipekee linalofanya muziki wa Hip Hop kutoka Zanzibar Zee Town Souljas linaloundwa na wasanii Kira Kirami pamoja na King Pozza, limewataka wadau wa burudani na mashabiki kujipanga kuhusu mpango wa kufanya ziara kubwa ya kimuziki Zanzibar.