Dr. Hilderman azidi kuomba msamaha Dr. Hilderman akitumbuiza jukwaani Msanii wa muziki wa nchini Uganda, Dr. Hilderman katika jitihada za kujaribu kupooza mioyo ya waumini na viongozi wa dini ya kikatoliki waliokerwa na kitendo chake cha kuvaa joho la maaskofu jukwaani. Read more about Dr. Hilderman azidi kuomba msamaha