Tanesco Ilala yatoa ufafanuzi kukatika kwa umeme

Mafundi wa shirika la umeme nchini Tanesco wakirekebisha moja ya miundombinu iliyopata hitilafu

Shirika la umeme nchini Tanzania Tanesco, mkoa wa Ilala, limetoa ufafanuzi kuhusiana na kukosekana kwa huduma ya umeme katika maeneo kadhaa ya wilaya ya Temeke kuanzia saa nne usiku juzi jumanne.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS