Maktaba yatakiwa kusogeza huduma kwa wananchi Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Dkt Shukuru Kawambwa. Bodi ya huduma za maktaba nchini Tanzania imetakiwa kusogeza huduma zake karibu na wananchi hususani zile zinazohusiana na elimu pamoja na maarifa ya namna ya kupambana na umaskini. Read more about Maktaba yatakiwa kusogeza huduma kwa wananchi