Collo: Tunairudisha Kleptomaniax
Wasanii wakali kutoka Kenya, Collo pamoja na Nyashinski ambao kwa pamoja walikuwa wakiunda kundi mahiri la rap la Kleptomaniax, wamepanga kuungana na kufanya ujio mwingine mkubwa katika game, ikiwa ni miaka kadhaa tokea walipotengana.