Kingunge avifunda vyama vya siasa nchini
Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania mzee Kingunge Ngombare Mwiru amesema vyama vya siasa vya siasa nchini kikiwemo cha CCM ambacho yeye anatokea vinafanya siasa pasipo kujua vinapigania nini na kwa maslahi ya nani.

