Wananchi wataka hatua kunusuru barabara
Wakazi wa kata ya Kijitonyama jijini Dar es Salaam nchini Tanzania wameitaka serikali kuchukua hatua za kukarabati baadhi ya barabara za Kata hiyo kutokana na baadhi kumeguka pembezoni kutokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni.