NIMR kufanya utafiti kubaini tishio la ebola

Mkurugenzi mkuu wa taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu - NIMR, Dkt Mwele Malecela

Taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu nchini Tanzania NIMR, imesema kuwa inaanza kufanya tafiti za kubaini kama kuna tishio lolote la ugonjwa wa Ebola hapa nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS