Biafra hatarini kukumbwa na homa hatari ya Dengue
Wafanyabiashara na mafundi gereji katika eneo la biafra jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, wapo hatarini kuugua magonjwa ikiwemo ugonjwa wa homa ya dengu kufuatia eneo hilo kuwa na dimbwi kubwa la maji yaliyotuama karibu na maeneo yao ya kazi.