Scott avutiwa na vipaji vya vijana. Wachezaji wakiwa katika Mafunzo,mapema leo Chamazi Siku ya pili ya mafunzo kwa wachezaji 72 wa kike na kiume kutoka mataifa 12 barani Afrika yanayofanyika katika uwanja wa Azam Complex imeendelea hii leo. Read more about Scott avutiwa na vipaji vya vijana.