P-Unit jukwaani tamasha la michezo
Kundi la muziki la P Unit la nchini Kenya, linatarajiwa kutoa burudani katika tukio kubwa la uchaguzi wa timu ya mbio za vijiti itakayoliwakilisha taifa la Kenya katika mashindano ya kimataifa ya mchezo huo yatakayofanyika Bahamas mwezi Mei.