KTMA 2014: Mchakato wa kupiga kura kuelekea kikomo
Kampuni ya Bia Tanzania inayotengeneza kinywaji cha Kilimanjaro, leo hii imekutana na waandishi wa habari kuzungumzia mwenendo wa mchakato wa kuwapata washindi wa tuzo za muziki Tanzania, Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014.