Upigaji kura KTMA 2014 ulikuwa bora
Baada ya tuzo za muziki za Kilimanjaro kwa mwaka 2014 kumalizika mwisho wa wiki na washindi wa mwaka huu kufahamika, Meneja wa Bia ya Kilimanjaro George Kavishe amesifia utaratibu na teknolojia iliyotumika katika zoezi la upigaji kura.