Tanzania ina idadi kubwa ya wagonjwa wa saratani

Mkurugenzi mkuu wa taasisi ya saratani ya Ocean Road.

Taasisi ya saratani nchini Tanzania imesema kuwa serikali haina uwezo wa kuwapa tiba watoto zaidi ya 2000 ambao wanabainika kuugua ugonjwa wa saratani kote nchini Tanzania kila mwaka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS