Mkuu wa mkoa atoa agizo athari za mvua Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Saidi Mecky Sadiki Mweyekiti wa kamati ya Ushauri ya mkoa wa Dar es Salaam Said Mecky Sadiki amewaagiza watendaji na viongozi mbali mbali wa jiji kuchukua hatua za kinga kabla ya athari mbalimbali kujitokeza. Read more about Mkuu wa mkoa atoa agizo athari za mvua