Rais Kikwete (Kushoto) akiwa na Aliko Dangote mmiliki wa kiwanda kikubwa zaidi cha Saruji duniani kilichoko Nigeria
Rais Kikwete atembelea kiwanda kikubwa zaidi cha saruji duniani kinachomilikiwa na mwekezaji anayejenga kiwanda cha saruji Mtwara, atumia siku nzima kutembelea kiwanda hicho.