Wiki hii ndani ya planet bongo. Franklyn a.k.a Pimp sasa akiwa amefariki, yeye pamoja na crew ya U- sideaz walikua wathamini wa kwanza kumchangia Gosby pesa za kutengenezea vocals studio. Muone tena Gosby kitengoni ndani ya planet bongo!Submitted by Lotus on Jumanne , 22nd Apr , 2014 Read more about Wiki hii ndani ya planet bongo.