Baba wamgombea mtoto wa Desire
Msanii wa muziki wa nchini Uganda, Desire Luzinda ameingizwa katika wakati mgumu baada ya wanaume wawili aliowahi kuwa nao katika mahusiano, kuibuka na kila mmoja kudai kuwa yeye ndiye baba halisi wa binti wa msanii huyu.