Tiwa tayari kwa harusi Dubai
Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Tiwa Savage yupo katika hatua za mwisho kabisa za maandalizi ya harusi yake rasmi na meneja na mwenzi wake Tunji ’T-Billz’ Balogun, ambapo kwa sasa amekwishatua nchini Dubai ambapo ndipo sherehe itafanyika.