DAWASCO yarejesha huduma baaada ya Mafuriko

Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Maji Safi na Majitaka jijini Dar es Salaam (DAWASCO), Jackson Midala

Shirika la majisafi na maji taka jijini dar es salaam,DAWASCO limesema sehemu kubwa ya jiji hivi sasa inapata maji baada ya kukosekana kwa huduma hiyo kutokana na athari ya mafuriko.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS