Miyeyusho vs Matumla sasa Mei 10

Franccis Miyeyusho akipambana katika moja ya mapambano yake na Mmalawi John Masamba.

Pambano la ngumi kati ya bondia Francis Miyeyusho 'Chichi Mawe' dhidi ya bondia Mohamed Matumla litapigwa Mei 10 mwaka huu kama lilivyopangwa katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS