UKAWA wahimizwa kurudi kujadili rasimu ya katiba
Wajumbe maalum wa bunge la katiba nchini Tanzania wamesisitiza kurudi bungeni kwa umoja wa katiba ya wananchi UKAWA ili kuweza kujadili kwa pamoja rasimu hiyo ya katiba na kuwapatia wananchi katiba iliyo bora.