Stars kurudi tena Tukuyu kuiwinda Msumbiji
Baada ya kulazimishwa sare ya bao 2-2 na Msumbiji katika mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya michuano ya awali yakuwania tiketi ya kucheza fainali za mataifa ya afrika timu ya taifa ya Tanzania taifa stars inataraji kuingia kambini wiki hii
