Nyumba Nne zachomwa moto kwa tuhuma za ushirikina Sehemu ya nyumba zilizoharibiwa na wakazi wa Uvinza watu 15 wanashikiliwa na polisi wilayani Uvinza mkoani Kigoma kwa kufanya uharibifu wa nyumba na mali wakimtuhumu mwanafamilia mmoja wa nyumba hizo kwa ushirikina. Read more about Nyumba Nne zachomwa moto kwa tuhuma za ushirikina