Nane mbaroni sakata la viungo vya binadamu Bunju

Mkuu wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Kamishna Suleima Kova.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu wanane kwa kuhusika na tukio la kutupa mabaki ya miili ya binadamu katika msitu mdogo uliopo eneo la Mpiji, Kata ya Mbweni, Wilaya ya Kinondoni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS