Mudigi avamia fani ya uigizaji
Msanii Delvin Mudigi kutoka kundi la Sauti Sol ameonesha upande mwingine wa kipaji chake katika tasnia ya burudani, na hii ni kwa upande wa uigizaji kupitia ushiriki wake katika tamthilia maarufu inayokwenda kwa jina Veve ya huko Kenya.

