Rais wa Msumbiji kuhutubia Bunge la Tanzania
Rais wa Msumbiji Jasinto Nyussi anataraji kuwasili nchini kesho siku ya Jumapili (Mei 17, 2015) na atalakiwa na akina mama 450 kutoka manispaa tatu za Dar es salaam katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimuJK Nyerere.