Andikeni mirathi kabla hamjafa - Mh. Pinda

Waziri Mkuu Mizengo wa Tanzania Mh. Mizengo Kayanza Peter Pinda.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda amewataka watanzania wote nchini wajenge tabia ya kuandika wosia ili kuondoa matatizo ya mirathi pindi mume anapoaga dunia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS