Serikali yatenga bilioni 100 kwa ajili ya tafiti. Serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo, imewekeza katika utafiti na kutenga zaidi ya shilingi bilioni 100 ili zifanikishe tafiti mbalimbali kwa maendeleo ya nchi. Read more about Serikali yatenga bilioni 100 kwa ajili ya tafiti.