Mwadui, African Sports, Majimaji zamwania Chanongo Timu shiriki za Ligi kuu soka Tanzania Bara, Mwadui FC ya Shinyanga wameanza mazungumzo na winga wa zamani wa Simba SC, Haroun Othman Chanongo kwa ajili ya kumsajili. Read more about Mwadui, African Sports, Majimaji zamwania Chanongo