Salama kuizika Planet Bongo
Mastaa wa muziki wa Bongo fleva pamoja na mashabiki wamekuwa na maoni tofauti ya huzuni kufuatia taarifa za kufika mwisho kwa show mahiri kabisa ya Planet Bongo siku ya kesho, mtangazaji muanzilishi wa show hiyo Salama Jabir atakiendesha.