Wavu klabu bingwa Dar es salaam kuendelea kesho
Timu za Jeshi Stars na Sekondari ya Makongo za wanawake zinatarajiwa kukutana kesho katika muendelezo wa Klabu Bingwa ya Mpira wa wavu Mkoa wa Dar es salaam itakayofanyika viwanja vya shule ya msingi Uhuru wasichana jijini Dar es salaam.