Michuano U-13 kutimua vumbi Juni 07 jijini Mwanza
Mashindano ya vijana wenye umri chini ya miaka 13 yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi Juni saba mwaka huu jijini Mwanza kwa kushirikisha mikoa yote Tanzania kwa lengo la kung’amua vipaji kwa ajili ya kuunda timu ya Taifa ya vijana wenye umri huo.