Kikapu majiji Afrika kudumisha umoja wa michezo Michuano ya ligi ya mpira wa kikapu ya majiji Afrika Mashariki na kati yameanza leo uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es salaam, kwa kushirikisha timu kutoka majiji 10 ya Afrika mashariki na kati. Read more about Kikapu majiji Afrika kudumisha umoja wa michezo