Riadha Dodoma kutimua vumbi Mei Mashindano ya Riadha ya Mkoa wa Dodoma yanatarajiwa kuanza kuunguruma hapo kesho katika uwanja wa Jamhuri kwa kushirikisha wanariadha mbalimbali kutoka katika wilaya zote saba za mkoa huo. Read more about Riadha Dodoma kutimua vumbi Mei