Vurugu Burundi zahamisha michuano ya Judo Afrika Vurugu za kisiasa zinazoendelea nchini Burundi zimesababisha mashindano ya vijana ya Afrika yaliyopangwa kufanyika kufanyika Juni mwaka huu nchini humo kuhamishwa. Read more about Vurugu Burundi zahamisha michuano ya Judo Afrika