Navio na Byser kutoa kichupa wiki ijayo

wasanii Navio wa Uganda na Mr Blue aka Byser wa Tanzania

Staa wa muziki nchini Uganda Navio ambaye kwa mwaka huu ameanza mchakato wake wa kufanya muziki na wasanii wa Afrika Mashariki ameelezea kumkubali sana msanii Mr Blue aka Byser na kuanza mipango ya kufanya naye ngoma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS