Linex mjeda yupo 'bize' kuzichanga
Msanii wa muziki Linex Sunday Mjeda, amesema kuwa amebadilisha mfumo wake wa maisha kwa kiasi kikubwa na amekuwa ni mtu wa kutokuonekana ovyo kutokana na kuziidisha kasi katika shoo, studio na kutafuta dili zitakazomuingizia kipato.