Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa akiwaelezea wananchi wa kijiji cha Damai Kondoa malengo ya kuzindua msimu wa kilimo mwaka 2015 Mkoani Dodoma
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa ameziagiza shule zote za msingi na sekondari mkoani hapa kuwa na mashamba darasa ya zao la mtama ili wananfunzi wawe na uhakika wa chakula mashuleni.