Kaeni na walimu kupunguza madai-RAS Iringa Katibu tawala wa Mkoa wa Iringa Bi.Wamoja Ayubu. Wakurugenzi wa halmashauri za wilaya mkoani Iringa wametakiwa kufanya vikao vya mara kwa mara na walimu na wadau mbalimbali wa elimu ili kupunguza madai yao kwa serikali. Read more about Kaeni na walimu kupunguza madai-RAS Iringa