TAS yataka Teknolojia itumike mauaji ya Albinism. Katibu Mkuu wa Chama cha Albino Tanzania Bi Ziada Nsembo. Katibu mkuu wa chama cha Albino Tanzania Bi Ziada Nsembo ameitaka serikali kutumia teknolojia ya kisasa katika vita dhidi ya mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi hapa nchini. Read more about TAS yataka Teknolojia itumike mauaji ya Albinism.