Tatizo la maji Dar es Salaam kupatiwa ufumbuzi.
Wakaazi wa Jiji la Dar es salaam wameombwa kuwa na matumaini baada ya kukamilika kwa miradi ya maji katika mtambo wa Ruvu Juu na Ruvu Chini, hali itakayosaidia kuondoa kero ya maji iliyokuwa ikiwakabili wakaazi wa jiji hilo kwa muda mrefu.