Kajala atangaza kumsamehe mbaya wake
Staa wa filamu Kajala, ambaye wiki kadhaa zilizopita alishambuliwa na kujeruhiwa usoni kwa chupa na kijana alieyedai kuwa ni pombe zilimtuma vibaya, amesema licha ya shauri hilo kuwepo bado polisi, binafsi amekwishamsamehe kabisa kiroho safi jamaa