Waigizaji wakongwe wachache TZ
Staa wa filamu Hashim Kambi, ambaye anafanya vizuri katika tasnia hiyo kwa miaka 10 sasa, amekiri kuwepo na uchache wa waigizaji wa makamu yake katika tasnia hiyo, hali iliyotengenezwa na imani potofu kuwa uigizaji ni uhuni katika kipindi cha nyuma.