Zoezi la uandikishaji BVR laendelea Iringa

Baadhi ya Wananchi wakiwa katika uandikishaji wa BVR, Mkoa wa Iringa.

Zoezi la uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura linaendelea mkoani Iringa huku wananchi wakitoa wito kwa viongozi wa vyama vya siasa kutoingilia zoezi hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS